The United Republic of Tanzania
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

TUNAHAMA


Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu kuwa ofisi zetu za Dar es salaam zimehamia katika jengo la ‘HESLB House’ zilipokuwa ofisi za Wizara ya Kilimo katika eneo la ‘Temeke Veterinari’, Barabara ya Mandela, karibu na Makao Makuu ya TAZARA, Dar es salaam.

Hivyo shughuli na huduma tunazotoa zinapatikana hapo kuanzia Jumatatu, Machi 30, 2020.

Tunawashauri wadau wetu kuwasiliaa nasi kwa simu au barua pepe (0736 66 55 33, 0739 66 55 33 au  info@heslb.go.tz)

 

Imetolewa Na:

Mkurugenzi Mtendaji,

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,

HESLB House, 1 Mtaa wa Kilimo -TAZARA

Barabara ya Mandela,

S.L.P.  76068,

15471 DAR ES SALAAM, Tanzania

Barua pepe: info@heslb.go.tz