Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

2
July 2021

TZS 570 BILIONI KUNUFAISHA WANAFUNZI 160,000

 

1) Mwongozo kupatikana hapa kuanzia leo, Julai 2, 2021

2) Mfumo wa kupokea mao ........

Read More
1
July 2021

UFAFANUZI TAARIFA YA DENI KATIKA ‘SALARY SLIPS’

Tunapenda kuwahakikishia wateja wetu wanaoendelea kurejesha mikopo kuwa makato yao katika mishahara ya mwezi Juni, 2021 yamefikishwa HESLB na kuhuishwa katika akaunti zao zilizopo HESLB.

Taarifa hii inafuatia maoni na malalamiko kutoka wa wateja wetu kuwa hawaoni kupungua kwa madeni katik ........

Read More
7
June 2021

DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO KUFUNGULIWA JULAI MOSI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2021/2022 linatarajia kufunguliwa Julai Mosi mwaka huu.

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa hati ya makubaliano baina ya HESLB na Wakala wa Usaji ........

Read More
3
May 2021

Utekelezaji wa Kufutwa Tozo ya VRF

Kufuatia maelekezo ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kufutwa kwa Tozo ya Kutunza Thamani ya Fedha (VRF) Mei 1, 2021, tunapenda kuwataarifu wateja wetu yafuatayo:

1) Tumeanza kufanyia kazi maelekezo hayo kwa kupitia mifumo ya TEH ........

Read More
24
December 2020

Wanafunzi 2,009 wapangiwa mikopo ya TZS 6.02 bilioni dirisha la rufaa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Alhamisi, Desemba 24, 2020) inawataarifu wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu kuwa imetangaza orodha ya majina ya wanafunzi WAPYA 2,009 wa waliopangiwa mikopo yenye thamani  ........

Read More